Na John Mapepele

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa leo Aprili 22, 2022 ameshiriki futari maalum jijini Dar es Salaam.

Futari  hiyo maalum imeandaliwa na Ubalozi wa Saudi Arabia na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali.

Katika futari hiyo maalum wageni waliohudhuria wameaswa kutenda mattendo mema  katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani na baada ya hapo kama ilivyoelekezwa kwenye kitabu kitakatifu cha Qur'an.

Comments

Popular posts from this blog

BASHUNGWA – ADA ZA TOZO ZA LESENI ZA MATANGAZO ZAPUNGUA KWA 50%

TAMASHA LA KIHISTORIA LATUA MBEYA-BASHUNGWA

Mhe. Mchengerwa amwaga vifaa vya michezo shule zote wilaya ya Rufiji, aanzisha ligi ya Sensa