BASHUNGWA – ADA ZA TOZO ZA LESENI ZA MATANGAZO ZAPUNGUA KWA 50%
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa kulia akizungumza katika kikao baina yake na Naibu wake Mhe, Pauline Gekul, Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na Kaimu Mkuu wa kitengo cha Sheria kwenye Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Evordy Kyando wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya maboresho ya Rasimu ya Marekebisho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za Mwaka 2020 pamoja na Kanuni za Maudhui ya Utangazaji katika Redio na Televisheni za Mwaka 2018 yaliyotolewa na wadau mbalimbali hivi karibuni. **************************** Na John Mapepele, WHUSM Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Innocent Bashungwa amesema Serikali inakwenda kuondoa asilimia hamsini ya ada za tozo mbalimbali za leseni kwenye marekebisho ya Kanuni za maudhui ya mtandaoni na maudhui ya utangazaji katika redio na televisheni yaliyofanywa hivi karibuni ili kuzalisha ajira na vipato wananchi. Mhe. Bash...

Comments
Post a Comment